Yanga yawaandalia sapraizi mashabiki Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2022
Yanga yawaandalia sapraizi mashabiki Jumamosi

Wakati dirisha dogo la usajili likiwa limefunguliwa rasmi, Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania

Kamwe amesema wamewaandalia sapraizi mashabiki siku ya Jumamosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa

"Dirisha dogo la usajili limefunguliwa kuna sapraizi gani? mnavyojua sisi Wananchi hatuna jambo dogo, huenda tarehe 17 Jumamosi tukashusha sapraizi moja pale uwanja wa Benjamin Mkapa"

"Usikae nyumbani, usisubiri kuona sapraizi ya Yanga kwenye Instagram njoo mapema Benjamin Mkapa upate kila kitu ambacho unastahili kupata kama Shabiki au Mwanachama wa Yanga," alisema Kamwe

Dirisha dogo la usajili limefunguliwa rasmi usiku wa kuamkia leo na litafungwa Januari 15 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’