Mtihani wa kwanza kwa Nkona leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2022
Mtihani wa kwanza kwa Nkona leo

Leo Yanga Princess itashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Mkwawa Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite

Utakuwa mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Sebastian Nkoma ambaye alikabidhiwa mikoba iliyoachwa na Edna Lema ambaye mkataba wake ulisitishwa

Yanga Princess leo inazihitaji alama zote ili kubaki katika malengo yake ambayo ni kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza

Nkoma amesema kwa ubora wa wachezaji alionao, anaamini baada ya muda watakuwa na timu nzuri ya kuweza kushindania ubingwa

Habari njema kwake ni kuwa dirisha dogo la usajili litafunguliwa Ijumaa, hivyo atakuwa na nafasi ya kukiimarisha kikosi chake zaidi

Hakutakuwa na kiingilio katika mchezo dhidi ya Mkwawa Queens leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’