Droo ya hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika imefanyika leo huko Misri Yanga ikiangukia kundi D
Katika kundi hilo Yanga imepangwa na mabingwa wa DR Congo TP Mazembe, US Monastir ya Tunisia na Real Bamako ya Mali
Mechi za makundi zitaanza kupigwa mwezi Februari 2023
ADVERTISE HERE