Wananchi hawana muda wa kupoteza kwani baada ya kurejea Dar kutoka Ruangwa hapo jana, leo wamerejea mazoezini wakianzia gym kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kurugenzi ambao utapigwa Jumapili, Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa




ADVERTISE HERE