Klabu ya Yanga imetangaza kusitisha mikataba ya Kocha Mkuu wa Yanga Princess Edna Lema na Kocha Msaidizi Mohammed Hussein 'Mmachinga'
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa mbadala wa makocha hao watatangazwa hivi karibuni
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya Yanga Princess kupoteza mechi ya kwanza ligi ya Wanawake dhidi ya Fountain Gate kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru jana
ADVERTISE HERE