Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Mtwara baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao ulipigwa uwanja wa Majaliwa, huko Ruangwa mkoani Lindi na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0




ADVERTISE HERE