Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc hapo jana, kikosi cha Yanga kimeondoka Ruangwa kurejea Mtwara tayari kwa safari ya Dar
Yanga inakabiliwa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kurugenzi Fc siku ya Jumapili, Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa



ADVERTISE HERE