Yanga imekamilisha kambi ya siku moja waliyoweka mkoani Mtwara na leo wameondoka kuelekea Ruangwa tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Majaliwa, kesho Jumatano Disemba 07, saa 1 usiku
Yanga itasafiri umbali wa takribani kilometa 200, mwendo wa masaa matatu hivi
ADVERTISE HERE