Orodha ya wafungaji wa mabao Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2022
Orodha ya wafungaji wa mabao Yanga

Mshambuliaji Fiston Mayele anaongoza orodha ya wafungaji mabao katika kikosi cha Yanga akiweka kambani mabao 10

Mayele amehusika katika mabao 11 kwenye ligi msimu huu akiwa na assisti moja pia

Kiungo mshambuliaji Feisal Salum 'Fei Toto' anashika nafasi ya pili akiwa amefunga mabao matano, pia akiwa na assisti 2

Nyota waliofunga mabao mawili kila mmoja ni Stephen Aziz Ki, Bernad Morrison na nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto wakati Djuma Shabani, Clement Mzize, Kibwana Shomari na Yanick Bangala wamefunga bao moja kila mmoja

Joyce Lomalisa ndiye kinara wa kutoa pasi za mabao katika kikosi cha Yanga akiwa na assist nne akifuatiwa na Jesus Ducapel Moloko mwenye assist 3

Farid Mussa, Khalid Aucho na Denis Nkane nao wana assist 2 kila mmoja wakati Dickson Ambundo, Djuma Shaban, Benard Morrison na Tuisila Kisinda wana assist 1 kila mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’