Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Lindi wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa Jumatano, Disemba 07 katika uwanja wa Majaliwa, Ruangwa
Msafara wa Yanga umeondoka Dar mapema leo wakipitia mkoani Mtwara kwa ndege na baadae kuunganisha kwenda Ruangwa kwa usafiri wa basi





ADVERTISE HERE