Leo Jumapili, Disemba 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Leo ni siku kubwa kwa mashabiki wa Yanga kwani Wananchi wanakwenda kusherehekea rekodi iliyowekwa na klabu yao kucheza mechi 49
Kabla ya mchezo kutakuwa na burudani mbalimbali, yaani leo ni kama Siku ya Mwananchi kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali
Hakikisha umekamata tiketi yako kama bado, viingilio VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-


ADVERTISE HERE