Aliyekuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana na Wanawake Yanga, Mwinyi Zahera ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Polisi Tanzania
Zahera amejiunga na Polisi Tanzania miezi michache tangu mkataba wake na Yanga umalizike
Yanga ilisitisha mpango wa kumuongezea mkataba na badala yake wakamteua Cedric Kaze
Polisi Tanzania imethibitisha uteuzi wa Zahera mapema leo

ADVERTISE HERE