Nabi bado ana rekodi ya kutisha kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Dec 2022
Nabi bado ana rekodi ya kutisha kwa Mkapa

Rekodi ya Yanga kucheza mfululizo pasipo kupoteza kwenye ligi ilifikia tamati juzi kwenye mechi ya 49 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ihefu Fc

Ni rekodi iliyowatesa wengi, utaona ni kwa kiasi gani shamrashamra zilishamiri kila kona baada ya Yanga kupoteza

Hata hivyo Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi bado anaendelea kushikilia rekodi ya aina yake kwenye ligi

Baada ya rekodi ya mechi 49 kufikia tamati juzi, Nabi bado anashikilia rekodi ya kuiongoza Yanga katika nyingi kwenye uwanja wa nyumbani pasipo kupoteza

Yanga imecheza mechi 23 bila kupoteza katika dimba la Mkapa kwenye ligi

Mara ya mwisho Yanga kupoteza mchezo katika uwanja wa nyumbani ni April 25 2021 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc

Hivyo bado mashabiki wa Yanga wana haki ya kuendelea kujivunia mafanikio makubwa tangu ujio wa kocha Nabi ambaye amepoteza mechi mbili tu tangu alipoanza kuinoa Yanga April 2021

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’