Baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Jumapili, Disemba 4, Yanga itaelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa kuhutimisha duru ya kwanza dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa Disemba 7 katika uwanja wa Majaliwa, Ruangwa
Katika mwezi Disemba Yanga inatarajiwa kucheza mechi saba

ADVERTISE HERE