Msako wa alama tatu unaendelea Mbeya leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2022
Msako wa alama tatu unaendelea Mbeya leo

Kikosi cha Yanga kiko mkoani Mbeya ambapo jioni ya leo watashuka uwanja wa Highland Estates kuikabili Ihefu Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuwania alama tatu ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema watawakabili Ihefu Fc kwa tahadhari kubwa licha ya nafasi waliyopo katika msimamo wa ligi

Katika mchezo wa leo Yanga itawakosa wachezaji wanne ambao wana changamoto za majeruhi

Djuma Shaban, Feisal Salum, Farid Mussa na Bernard Morrison wote wanakosekana huku nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto nae akiwa na asilimia 50 za kutumika katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’