Alama tisa za kufunga duru ya kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2022
Alama tisa za kufunga duru ya kwanza

Kesho Jumanne Yanga itashuka uwanja wa Sokoine kuikabili Ihefu Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mechi ya 13 kwa Yanga ambayo bado itakuwa na mechi nyingine mbili kukamilisha mzunguuko wa kwanza

Baada ya kumalizana na Ihefu, Yanga itarejea Dar kuikabili Tanzania Prisons Disemba 04 kabla ya kusafiri Ruangwa kuwafuata Namungo Fc

Hesabu za Yanga katika mechi hizi ni kuvuna alama 9 ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi

Aidha, ushindi katika mchezo wa kesho dhidi ya Ihefu Fc, utaihakikishia Yanga kumaliza mechi za duru ya kwanza ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi

Kama Yanga itaendeleza kasi waliyonayo, pengine msimu huu wanaweza kutetea ubingwa wao mapema sana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’