Yanga kuifuata Ihefu Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2022
Yanga kuifuata Ihefu Fc leo

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo utapigwa Jumanne, Novemba 29 katika uwanja wa Sokoine

Ni mchezo wa kiporo ambao uliahirishwa mwezi Oktoba kutoka na ushiriki wa Yanga kwenye michuano ya Kimataifa

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema kikosi kitakapowasili mkoani Mbeya, mashabiki na Wanachama wa Yanga wenye kadi watapata fursa ya kupiga picha na wachezaji pia wataruhusiwa kushuhudia mazoezi yatakayofanyika uwanja wa Sokoine

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’