FT : Yanga 2-0 Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Nov 2022
FT : Yanga 2-0 Mbeya City

Mbeya City wametepeta mbele ya Wananchi dimba la Mkapa leo wakikubali kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni Fiston Mayele tena leo akiweka kambani mabao mawili na kuihakikishia Yanga alama tatu muhimu

Pengine Mbeya City wana bahati tu kwani pamoja na mwamuzi Ramadhani Kayoko kukataa bao la Tuisila Kisinda, Yanga ilitengeneza nafasi nyingi

Rekodi ya 'unbeaten' inaendelea kwa Yanga sasa Wananchi wakifikisha mechi 49

Baada ya mchezo shamrashamra za kushangilia unbeaten ziliambatana na keki iliyoliwa na mashabiki

Yanga imejichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha alama 32

Kwa hakika ni Mahakama pekee inayoweza kuifunga Yanga....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’