Jezi ya maajabu itatumika leo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 12:15 jioni
Tangu Yanga ianze kutumia jezi nyeusi kule Tunisia kwenye mchezo wa Shirikisho dhidi ya Club Africain, ni mwendo wa ushindi tu
Uzi huo toleo la tatu ulikuwa maalum kwa ajili ya mechi za FA na pale inapotokea dharura ya mfanano wa jezi za nyumbani na ugenini dhidi ya timu mgeni
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema uzi huo wa maajabu utavaliwa leo...!
ADVERTISE HERE