Alama tatu kwanza mengine baadae - Walter

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2022
Alama tatu kwanza mengine baadae - Walter

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wamejipanga kuikabili Mbeya City iliyo kwenye kiwango bora siku ya kesho katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Harrison amesema hawataingia uwanjani wakiwaza rekodi yao ya kutopoteza mchezo bali wataingia wakiwa na lengo la kusaka alama tatu

"Dhumuni sio kufikisha idadi ya michezo bila kupoteza, tunahitaji alama tatu baadae tukifanikiwa ndio mambo mengine yataangaliwa," alisema Harrison

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’