Ni zamu ya Mbeya City Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2022
Ni zamu ya Mbeya City Jumamosi

Keshokutwa Jumamosi Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Utakuwa mchezo mzuri wenye ushindani wa aina yake kwani mara nyingi mechi kati ya timu hizi huwa na upinzani mkali

Msimu uliopita Mbeya City ilifanikiwa kuondoka na alama mbili mbele ya Yanga

Mechi zote mbili za ligi zlimalizika kwa matokeo ya sare. Mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana na mchezo wa pili kule Mbeya ukamalizika kwa sare ya bao 1-1

Mbeya City pia wana deni na mshambuliaji kinara wa mabao Fiston Mayele, anawadai 'KUTETEMA'

Mbeya City, Ruvu Shooting, Tanzania Prisons na Ihefu Fc ni timu chacha ambazo hazijaonja radha ya kufungwa na Mayele

Baada ya kuwasimamisha Simba jana, Mbeya City watakuja kuikabili Yanga wakiwa na morali

Hata hivyo Wanakutana na Wananchi ambao ni kama gari lililokata breki, linasomba kila kinachojitokeza mbele yake

Ushindi kwa Yanga utawahakikishia waendelee kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kwa alama tatu zaidi huku wakiwa bado wana mechi mbili za viporo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’