Kapteni 'Baker' yuko fiti

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2022
Kapteni 'Baker' yuko fiti

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto afya yake imeimarika baada ya changamoto ya kupumua aliyoipata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji

Mwamnyeto alishindwa kuendelea na mchezo kwenye kipindi cha kwanza baada ya kupata tatizo la kubanwa na mbavu

Taarifa ya kitabibu iliyotolewa na daktari wa Yanga imebainisha kuwa tatizo hilo lilitokana na uchovu wa mwili baada ya kucheza kwa kutumia nguvu nyingi

Mwamnyeto alipewa huduma palepale uwanjani na baadae kupewa mapumziko

Baada ya changamoto za hapa na pale, Mwamnyeto sasa amerejea katika ubora wake akirudi katika nafasi yake na kuipa faida Yanga hasa kwa Yannick Bangala ambaye anaweza kutumika katika nafasi ya kiungo mkabaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’