Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said akiambatana na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' leo walifamnyia 'suprize' mkongwe Sunday Manara katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Manara ambaye ni baba Mzazi wa Haji, amepewa heshima hiyo kutokana na mchango wake akiitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa katika miaka ya 70





ADVERTISE HERE