Wananchi wamepania alama tatu dhidi ya Dodoma Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2022
Wananchi wamepania alama tatu dhidi ya Dodoma Jiji

Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Singida mapema jana na jioni wakaanza maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa katika uwanja wa Liti

Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga, alama tatu zitawarejesha kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na mechi mbili mkononi

Jana Azam Fc walipanda kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Fc mkoani Lindi

Azam Fc wana alama 29 baada ya kucheza mechi 13 wakifuatiwa na Simba yenye alama 27 baada ya kucheza mechi 12 wakati Yanga ina alama 26 baada ya kucheza mechi 10

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema dhamira yao ni kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo hivyo kila mechi ni kama fainali kwao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’