Huyo Fei Toto akitoka Yanga ni Ulaya tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2022
Huyo Fei Toto akitoka Yanga ni Ulaya tu

Mwanzoni mwa wiki hii ziliibuliwa tetesi kuwa Azam Fc wanajipanga kumn'goa kiungo wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto'

Kwa hakika zilikuwa tetesi tu kwani kiuhalisia, haitakuwa rahisi hivyo Yanga kumuuza Feisal kwa Azam Fc

Lakini ukiangalia ubora alionao Feisal kwa sasa, kwa hapa Tanzania ni Yanga tu ambayo anastahili kuendelea kuitumikia

Mchezaji mkubwa lazima acheze timu yenye mafanikio, ni nadra sana mchezaji mkubwa kutoka timu yenye mafanikio kwenda timu ndogo, labda aamue kufuata fedha lakini hatari yake ni kuwa timu ndogo inaweza kumshusha kiwango na thamani yake kushuka pia

Kwa sasa Yanga inaweza kumpatia Fei toto mahitaji yake hivyo haitakuwa rahisi kumuachie ajiunge na timu nyingine hapa Tanzania

Hata ndani ya bara la Afrika kuna timu chache ambazo zinaweza kumn'goa Feisal Yanga

Kama ataondoka Yanga basi atakuwa amepata timu nje ya bara la Afrika kwani hata yeye mwenyewe ndoto yake ni kwenda kusakata kabumbu barani Ulaya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
11h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
15h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
16h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
16h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’