Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mwananchi, Mdhamini wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohammed 'GSM'
Asikwambie mtu, Mwamba huyu ana mkono wake kwenye furaha ya Wananchi, Udhamini wake umekuwa na matokeo chanya kwa klabu ya Yanga
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY GSM...!
ADVERTISE HERE