FT : Yanga 4-1 Singida Big Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2022
FT : Yanga 4-1 Singida Big Stars

Unaweza kusema Singida Big Stars leo wamedandia mtumbwi wa vibwengo kwani wamewakuta Wananchi wakiwa katika ubora wao na kukubali kipigo cha mabao 4-1 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kucheza mechi tano pasipo kutetema, Mayele ameondoka na mpira akifunga mabao kwenye dakika za 16, 27 na 56

Ikawa siku nzuri kwa Kibwana Shomari pia aliyefunga bao la tatu la Yanga dakika ya 48 kabla ya Mayele kuhitimisha kalamu ya mabao 

Bao pekee la kufutia machozi kwa upande wa Singida Big Stars lilifungwa na Meddie Kagere

Yanga ilikuwa bora siku ya leo katika kila idara, unaweza kusema mabao manne yalikuwa machache kulinganisha na idadi ya nafasi ambazo Yanga walitengeneza

Ni ushindi ambao umewarudisha Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 26

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’