Droo ligi ya mabingwa, Shirikisho yapigwa kalenda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2022
Droo ligi ya mabingwa, Shirikisho yapigwa kalenda

Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika iliyopaswa kufanyika nchini Misri siku ya kesho Jumatano, imeahirishwa

Klabu ya Yanga imethibitisha kupokea taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) juu ya kuahirishwa kwa droo hiyo

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine ilikuwa aondoke nchini leo kuelekea Misri kwa ajili ya kuhudhuria hafla hiyo ya upangaji makundi

CAF itatangaza tarehe nyingine ambayo droo hiyo itafanyika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’