Tutafanya maboresho dirisha dogo - Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2022
Tutafanya maboresho dirisha dogo - Hersi

Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amesema kuelekea hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika, watafanya maboresho ya kikosi dirisha dogo litakapofunguliwa ili kuimarisha maeneo yenye mapungufu

Hersi amesema wana nafasi ya kufanya vizuri katika michuano hiyo kutokana na aina ya droo ambayo inatarajiwa kufanyika huko Misri

"Tumeingia makundi, ilikuwa ndoto ya kila Mwanayanga kuona tunafuzu hatua hiyo lakini tufahamu huko hatutakuwa peke yetu tutakutana na timu ambazo zina ubora hivyo tutahitaji kujipanga vizuri"

"Mtendaji Mkuu atasafiri kwenda Misri kuhudhuria droo ya hatua ya makundi ambayo itafanyika sikua ya Jumatano, tuko katika poti ya 2, tutapangwa na kigogo mmoja kutoka poti ya 1 halafu timu nyingine kutoka poti ya 3 na 4"

"Utaona tunayo nafasi ya kuweza kufanya vizuri katika michuano hiyo, tutaimarisha kikosi chetu dirisha dogo litakapofunguliwa ili kuwa bora zaidi," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’