Wananchi wanarejea Dar kuiwinda Singida Big Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2022
Wananchi wanarejea Dar kuiwinda Singida Big Stars

Kikosi cha Yanga kimeondoka Mwanza kurejea Dar wakikabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Big Stars ambao utapigwa Alhamisi, Novemba 17

Jana wachezaji wa Yanga walionyesha ukomavu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 katika uwanja wa CCM Kirumba

Kwa hakika ilikuwa mechi ngumu sana, Yanga walifanya mazoezi siku moja tu tangu ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain na kutinga makundi ya Shirikisho

Mazoezi hayo walifanya siku ya Jumamosi jioni na Jumapili wakashuka dimba la CCM Kirumba kuwakabili Kagera Sugar katika uwanja ambao haukuwa katika ubora baada ya mvua kubwa kunyesha muda mfupi kabla ya mchezo

Safu ya ulinzi ya Yanga chini ya nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto walifanya kazi kubwa kuhakikisha wanalilinda lango kwa muda wote wa mchezo

Mlinda lango Djigui Diarra akiwa katika ubora wake, Nondo, Ibrahim Bacca na Dickson Job kwa hakika walipambana kwa jasho na damu. Ulikuwa ushindi wenye thamani kubwa sana kwa Yanga

Wachezaji wa Yanga wamepewa mapumziko ya siku moja na wataanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Singida Big Stars siku ya Jumanne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’