Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Oktoba 2022
Nabi ameshinda tuzo hiyo baada ya kuiongoza Yanga kushinda mechi tatu za ligi na droo moja katika mwezi huo
Yanga ilizichapa KMC (1-0), Geita Gold (1-0) na Ruvu Shooting (2-1) wakati ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba
Tuzo ya mchezaji bora wa Oktoba imekwenda kwa Sixtus Sabilo wa Mbeya City
ADVERTISE HERE