Kikosi cha Yanga kiko nchini Shelisheli tayari kwa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis.
Yanga ilitua jana katika mji wa Victoria, na kufikia katika Hoteli maarufu inayofahamika kama Reef.
Leo na kesho Yanga inatarajia kujifua kwenye uwanja utakaotumika katika mchezo huo, STADE LINIT.
Mchezo huo unapigwa keshokutwa Jumatano, February 21.

ADVERTISE HERE