Ni saa chache kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ambao utapigwa huko Tunisia katika uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic
Dua zetu tunazielekeza huko Tunisia siku ya leo, kila mmoja kwa imani yake, amuombe Mwenye ez Mungu aisaidie Yanga iweze kupata matokeo mazuri
Zitakuwa dakika 90 za machozi, jasho na damu, wachezaji wa Yanga wako tayari kwa vita ya soka leo
Wananchi tuko tayari, furaha yetu ni kuona timu yetu inashinda. Hakuna jambo lisilowekezakana kwenye mpira wa miguu
Mchezo utapigwa kuanzia saa 2 usiku na utarushwa mbashara na Azam Sport 2
KILA LA KHERI WANANCHI...!
ADVERTISE HERE