Wananchi wanataka ushindi - Rais Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2022
Wananchi wanataka ushindi - Rais Yanga

Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amesema wamewakabidhi wachezaji jukumu la kuhakikisha wanapambana kwenye mchezo dhidi ya Club Africain ili kuweza kushinda mchezo huo na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Hersi amesema walifanya kikao na wachezaji ambapo amewataka wapambane katika mchezo huo kuwapa furaha mashabiki wao ambao wana kiu ya kuiona timu yao ikitinga hatua ya makundi ya michuano hiyo

"Tulifanya kikao kirefu na wachezaji na tuliwaambia hakuna mtu anaweza kutupa matokeo hapa Tunisia isipokuwa wao"

"Mashabiki na Wanachama wanataka kuona timu yao inasonga mbele hivyo ni lazima wapambane," alisema Hersi

Yanga imekamilisha maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic, wakianza mazoezi saa 12 jioni kwa saa za Tunisia muda ambao mchezo utapigwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’