Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi yake katika Mji wa Sousse Tunisia kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain
Leo Yanga itaelekea katika jiji la Tunis yalipo makazi ya Club Africain

ADVERTISE HERE