Unbeaten ya Wananchi inawindwa hii...

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Nov 2022
Unbeaten ya Wananchi inawindwa hii...

Baada ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ambao utapigwa Jumatano Novemba 09, Yanga itakuwa na siku tatu kusafiri kutoka Tunisia, Dar na kuelekea jijini Mwanza wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Novemba 13 katika uwanja wa CCM Kirumba

Wananchi watahitaji siku mbili kusafiri kutoka Tunisia mpaka kufika Tanzania, wakitarajiwa kuondoka nchini humo Novemba 10

Bodi ya Ligi imesisitiza kuwa hakuna mabadiliko ya Ratiba yatafanyika kwani safari hii wanataka ligi ikamilike kama ilivyopangwa

Yanga ilikabiliwa na ratiba ya kucheza mechi tatu mfululizo kabla ya mchezo dhidi ya Club Africain Novemba 02

Walicheza na Simba (Oct 23), KMC (Oct 26) na Geita Gold (Oct 29), Nov 02 wakacheza na Club Africain na sasa watakapotua jijini Dar es salaam kutoka Tunisia watalazimika kuunganisha ndege kuelekea jijini Mwanza kuwakabili Kagera Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’