Baada ya kuwasili Sousse huko Tunisia, Yanga imeanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Club Africain
Wachezaji wa Yanga wamefanya program maalum ya mazoezi ya kuondosha uchovu na kuweka miili sawa baada ya safari ndefu









ADVERTISE HERE