Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama kunako mji wa Sousse nje kidogo ya jiji la Tunis kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Club Africain
Safari ilikuwa ndefu kutoka jijini Dar es salaam, Dubai, Tunis na baadae kutumia usafiri wa barabara kwenda Sousse
Yanga itaweka kambi ya siku mbili katika Mji huo na inatarajiwa kurudi Tunis siku ya Jumatatu mchana
ADVERTISE HERE