Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema wanakwenda Tunisia kupambana wakifahamu bado wanayo nafasi ya kutinga makundi kombe la Shirikisho
Kaze amesema pamoja na kuwa wanakwenda kucheza ugenini lakini wako tayari, wana morali na ari ya kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi
Aidha wachezaji wa Yanga wameahidi kupambana kwa dakika zote za mchezo dhidi ya Club Africain ili kupata matokeo ya ushindi
ADVERTISE HERE