Kikosi cha Yanga kimewasili salama visiwa vya Shelisheli tayari kwa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis.
Yanga imefikia Mji wa Victoria.
Mabingwa hao wa ligi kuu ya Vodacom kwa misimu mitatu mfululizo watakuwa na siku mbili za kujifua kabla ya kuwavaa wenyeji wao siku ya Jumatano, February 21.
Imeelezwa hali ya hewa ya mji huo ni ya joto kiasi ukilinganisha na hali ya hewa ya jiji la Dar es Salaam.
Wachezaji watakuwa na muda wa kutosha kuzoea hali hiyo ya hewa kabla ya kuwavaa wenyeji wao St Louis

ADVERTISE HERE