Kitaeleweka hukohuko Shelisheli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2018
Kitaeleweka hukohuko Shelisheli
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa Yanga ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0.

St Louis walicheza kwa kujihami zaidi huku wakitumia mashambulizi ya kushitukiza. Bila shaka mchezo wa marudiano hawatatumia mfumo huo wa 'kupaki basi'.

Hilo huenda likaufanya mchezo huo ukawa mwepesi kuliko wengi wanavyofikiria.

Aidha kukosekana kwa Chirwa kutatoa nafasi kwa Juma Mahadhi kuanza na ataongeza kasi ya mashambulizi langoni mwa St louis.

Mahadhi ndiye aliyefunga bao pekee la Yanga katika mcheza wa kwanza. Kuingia kwake pamoja na Mwashiuya kuliichangamsha Yanga katika mchezo huo.

Tukumbuke Yanga ilikuwa imara kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi bila uwepo wa Obrey Chirwa na itakuwa imara itakapoivaa St Louis bila ya uwepo wa kinara huyo wa mabao.

Muhimu ni kuwaunga mkono wachezaji waliosafiri kuiwakilisha Yanga huko Shelisheli.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’