Tiketi bado zinapatikana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2022
Tiketi bado zinapatikana

Leo Novemba 02 Wananchi wako kwenye majukumu ya Kimataifa ambapo watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Club Africain katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi jioni, Yanga imeendelea kuwasisitizia mashabiki wake wajitokeze kwa wingi, tiketi bado zinapatikana

Unaweza kujipatia tiketi katika vituo vilivyoainishwa na pia nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa

Tiketi za mzunguuko siku ya leo zitapatikana kwa Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’