Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold, kikosi cha Yanga kimeondoka Mwanza mapema leo kurejea Dar es salaam kukamilisha maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain
Mchezo huo utapigwa Jumatano, Novemba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa




ADVERTISE HERE