Ibrahim Bacca yuko tayari sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Oct 2022
Ibrahim Bacca yuko tayari sasa

Kiwango bora alichoonyesha katika mchezo dhidi ya KMC jana huenda kikamuhakikisha beki Ibrahim Bacca kupata nafasi katika kikosi cha kwanza

Jana Bacca alianza na nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto wakiwa walinzi wa kati baadae Mwamnyeto alitoka na nafasi yake kuchukuliwa na Feisal Salum, mabadiliko ambayo yalipelekea Yannick Bangala kurudi kwenye safu ya ulinzi

Wakati huu ambao nahodha Mwamnyeto bado anapambana kurejea katika ubora wake, pengine itakuwa nafasi kwa Bacca kutumika katika kikosi cha kwanza

Bacca alikuwa bora sana katika mchezo dhidi ya KMC, akikapa na kuanzisha mashambulizi kwa ustadi mkubwa

Pengine ni wakati wake sasa kuaminiwa katika kikosi cha kwanza, Wananchi watarajie kumuona mara kwa mara uwanjani

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’