Chirwa aongezeka orodha ya majeruhi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2018
Chirwa aongezeka orodha ya majeruhi
Mshambuliaji Obrey Chirwa ameondolewa kwenye kikosi cha Yanga kinachosafiri kesho jumapili kwenda Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, Chirwa alipata maumivu ya misuli kwenye mchezo dhidi ya Majimaji.

Mbali na Chirwa, kiungo Thabani Kamusoko naye ameondolewa katika kikosi hicho kwa kuwa bado hayuko fiti licha ya kupona majeraha.

Wachezaji 20 na viongozi 10 (nane wa benchi la ufundi) wanatarajiwa kuondoka kesho kwenda Shelisheli kuikabili St Louis siku ya Jumatano, February 21.

Wachezaji wanaokwenda Shelisheli
Ramadhani Kabwili,Beno Kakolanya,Youthe Rostand,Hassan Kessy,Juma Abdul,Mwinyi Haji,Gadiel Michael,Nadir Haroub,Patto Ngonyani,Kelvin Yondani,Said Juma,Papy Tshishimbi,Pius Buswita,Raphael Daud,Yussuf Mhilu,Ibrahim Ajib,Said Mussa,Emmanuel Martin,Geoffrey Mwashiuya na Juma Mahadhi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’