FT : Yanga 1-0 KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2022
FT : Yanga 1-0 KMC

Yanga imerejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ulikuwa mchezo mgumu kwa Yanga, kutokana na ufinyu wa muda wa maandalizi baada ya mchezo wao dhidi ya Simba

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo alilazimika kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi chake akiwapa nafasi wachezaji ambao hawakutumika katika mchezo dhidi ya Simba

Ni Feisal Salum aliyefunga bao la ushindi la Yanga kwenye dakika ya 80 kwa shuti la guu la kushoto

Feisal hakuanza mchezo huo baada ya kuugua maradhi ya tumbo dakika chache kabla ya mchezo kuanza

Ni ushindi muhimu sana kwa Yanga dhidi ya KMC ambayo iko katika kiwango bora

Unbeaten ya Yanga inaendelea sasa ni mechi 44!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’