FT : Yanga 1-1 Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2022
FT : Yanga 1-1 Simba

Hakuna mbabe uwanja wa Benjamin Mkapa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga na Simba kutoshana nguvu kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu

Augustine Okrah aliitanguliza Simba kwa bao la kuongoza kwenye dakika ya 15 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Yanga ambao walikosa umakini na kumruhusu awazunguke na akamalizia kwa urahisi pasi kutoka kwa Clatous Chama

Yanga iliingia mchezoni taratibu lakini waliweza kurejea mchezo kwa mpira wa adhabu kutoka wa Stephane Aziz Ki aliyepiga shuti lililotinga moja kwa moja kimiani akiwa nje kidogo ya 18

Timu hizo zilikwenda mapumziko zikiwa na sare ya bao 1-1 licha ya Yanga kutawala zaidi kwenye kipindi cha pili lakini bahati ya kutumbukiza mpira kimiani ilikosekana

Ni mchezo wa tatu mfululizo timu hizo zinatoshana nguvu kwenye ligi kuu ya NBC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’