Droo ya mtoano Shirikisho ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2022
Droo ya mtoano Shirikisho ni leo

Droo ya hatua ya mtoano kombe la Shirkisho barani Afrika, itafanyika leo Cairo, Misri

Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga ina nafasi nyingine kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi katika Shirikisho

Timu 16 zilizotolewa kwenye raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa, zitachuana na timu 16 zilozofuzu raundi ya kwanza kombe la Shirikisho

Timu 16 zitakazoshinda katika raundi hiyo, zitatinga makundi

Hizi hapa timu zilizofuzu raundi ya kwanza Shirikisho na zinaweza kukutana na Yanga

Ashant (Ghana), Al Akhdar (Libya), Diables (Congo BR), DC Motema Pembe(Congo DR), Club Africain (Tunisia), Real Bamako (Mali), USM Algers (Algeria),  Future Fc (Egypt), Malumo Gallant (South Africa), Royal AM (South Africa), Lupopo(Congo DR), RS Berkane (Morocco), Pyramids (Misri) na CS Sfaxien (Tunisia)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
38m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’