Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka Sudan leo Jumatatu kurejea jijini Dar es salaam baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa
Yanga inarejea Tanzania kupitia Addis-Ababa, Ethiopia
Mwishoni mwa wiki hii Yanga ina kibarua cha mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa Oktoba 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa



ADVERTISE HERE