Baada ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis Jumatano ijayo, February 21, Yanga inatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kisha kuunganisha moja kwa moja mkoani Ruvuma kucheza mchezo wa kombe la FA hatua ya 16 bora dhidi ya Majimaji.
Mchezo huo utapigwa February 25.
Baada ya mchezo huo, Yanga itaunganisha moja kwa moja Mkoani Mtwara ambapo February 28 itaivaa Ndanda FC.
Siku tatu baadae itatakiwa iwe mkoani Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar.
Hapa ndipo umuhimu wa kuwa na kikosi kipana unapoonekana. Bila shaka tutavuka salama

ADVERTISE HERE